Blog

Pogba hakubaliki na washabiki wa Man Utd!

Sambaza....

Nilitegemea baada ya paul pogba kuwemo kwenye PFA Team Of The Year, mapokezi yangekuwa makubwa kwa mashabiki wa Manchester United duniani kote lakini kumbe imekuwa kinyume, muda mchache uliopita nilipitia pitia Tweets za mashabiki wengi wa United wanaolipa viingilio uwanjani kuangalia mechi na hizi ni baadhi ya Tweets zao,

          @OldTraffordFaithful         ?

“Pogba in the PFA Team Of The Year after a few good months of football….if we’re being honest with ourselves he probably shouldn’t be in there. It’s only going to boost an already over inflated ego. #MUFC “
:
:
@LiamHancock ?
“I’m sorry but as a united fan Pogba hasn’t been consistent enough to be named in the prayer of the year squad. Now the clown will think he’s bigger than club again when his performances just haven’t been good enough. #MUFC “
:
:
Dutto ?
“@paulpogba do the decent thing and take yourself out of the team of the year.
what a joke #mufc “
:


Ahmed Boyram ?
“Pogba in the PFA team of the year. I don’t know what the PFA bunch do for a living but maybe they should start watching football.

:
:
Robert Foster
“Shocking. I’m a united fan & I can’t stand seeing him in the shirt. Has a sheep’s heart. Played well in Jan & Feb against average teams when nothing at stake. PSG, Barca, Wolves (twice) & arsenal recently he went hiding as is the norm. A bluffer as keano called it. #mufc #pogba ”
:
: ⏩⏩ kitu pekee nimependa hapo United fans tunamsimamo ? mchezaji akizingua hata awe na kiwango kikubwa namna gani lazima atapondwa tu, na hii ndio maana halisi ya “Hakuna Mchezaji Mkubwa Kuliko Timu” ??

-Imeandaliwa na Seif Mohammed

Sambaza....
Subscribe
Notify of

0 Maoni
Inline Feedbacks
Tazama Maoni Yote
0
Tungependa kupata maoni yako, tafadhali tuambiax
()
x