Mabingwa AfrikaTetesi

Simba kulamba dili nono kutoka Uarabuni!

Sambaza kwa marafiki....

Baada ya Klabu ya soka ya Simba Sc kuisambaratisha AS Vita katika mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi na kuweza kufuzu hatua ya robo fainali sasa Simba sc kutajirika tena.

Kwa taarifa ambazo bado tunaendelea kuhakiki zinasema kuna Kampuni mbili kutoka katika moja ya nchi za Kiarabu zipo tayari kuweka pesa na kuwa wadhamini katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika katika klabu hiyo.

Kampuni hizo zilikua zinasubiri Simba ifuzu hatua ya robo fainali ili ziweke mzigo huo.

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.