Blog

SIMBA wakabidhiwa BODABODA tena

Sambaza....

Leo katika mitaa ya Gerezani , Kariakoo jijini Dar es Salaam kulikuwepo na tukio la kuwakabidhi wachezaji wa Simba zawadi baada ya kufanikiwa kubeba ubingwa wa ligi kuu msimu jana.

Zawadi hizo zimetolewa na mwekezaji wa klabu hiyo ndugu Mohamedd Dewji mbele ya waandishi wa habari. Wachezaji wa Simba wamekabidhiwa pikipiki , rice cooker pamoja na simu ya mkononi kwa kila mmoja.

 

 


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.