Jacques Tuyisenge mshambuliaji wa Gor mahia
Tetesi

Tuyisenge huyoo Msimbazi kuungana na pacha wake Kagere!

Sambaza....

Mshambuliaji hatari wa Gor Mahia na Rwanda Tuyisenge yupoo njiani kuungana na pacha wake wa zamani Meddie Kagere.

Habari zilizotufikia ni kua Tuyisenge tayari kashamalizana na Simba sc kinachosubiriwa ni msimu huu umalizike na yeye kuvaa jezi nyekundu msimu ujao.

Inasemekana Tuyisenge yupo Dar kwa sasa akiwa amefichwa na viongozi wa Simba sc.

Sambaza....
Subscribe
Notify of

0 Maoni
Inline Feedbacks
Tazama Maoni Yote
0
Tungependa kupata maoni yako, tafadhali tuambiax
()
x