Kombe la DuniaAishi Manula Amerudi na Fei Toto!Mwandishi Wetu5 months agoKuelekea michezo hiyo dhidi ya Niger na Morocco kocha mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche ametaja kikosi kitakachoingia kambini
AFCONTanzania Kwa Amrabat, Chama na Mayele!Tigana Lukinja6 months agoni juu zaidi kulinganisha na sisi pia wana wachezaji wengi sana ambao wanacheza Ligi kubwa Afrika na nje ya bara hili.
AFCONAFCON 2027, Tutafaidika PakubwaVicent Crement6 months agoBaada ya Miaka 51 Kombe la Mataifa ya Afrika linarudi tena katika ukanda wa Afrika Mashariki, baada ya kufanyika nchini Ethiopia.
StoriApewe Maua Yake Sio Mpaka Aondoke!Tigana Lukinja7 months agoBora utoe pongezi pale mtu anapofanya vizuri na usisubiri mpaka aondoke ijapo mapungufu yapo pia
AFCONSio tu Kufuzu Lakini Tumeionyesha Afrika Rangi Nne!Tigana Lukinja7 months agoMada kuhusu kupeperusha bendera yetu pale Ivory Coast ndio imeanzia hapa na sisi tunasimama nayo.
AFCONAfcon!? Twenzetu Tena na Hawahawa Tulionao!Tigana Lukinja7 months agoNdio ni hii Taifa Stars ambayo tulicheza AFCON 2019 baada ya kushinda mchezo wetu dhidi ya Uganda ndani ya Mkapa Stadium leo kwanini isiwezekane?
AFCONTaifa Stars: Tunaitaka Afcon ya Ivory Coast.Mwandishi Wetu7 months agoStars watashuka dimbani nchini Algeria kusaka alama moja tu ambayo itawafanya kufuzu katika kundi hilo sambamba na Algeria na kuwaacha Uganda na Niger
BlogVilabu vinasajili “Hovyo-Hovyo”Sekwao Mwendi8 months agoWengi wanasema, Mchezaji anaweza kuwa Bora katika Timu Fulani, lakini akawa Mbovu katika Timu Nyingine; tena Bila sababu za Msingi..falsafa yetu ni ipi?
Ligi KuuSimba imeshindwa kuweka kambi Bongo?Vicent Crement8 months agoSimba wameweka Kambi Uturuki kwaajili ya maandalizi ya Michuano ya kimafaifa, nini sababu kuu ya kutoka nje ya nchi mara kwa mara.
StoriJemedary Amchambua Kocha wa SimbaMwandishi Wetu9 months agomwaka huu 2023 aliazimwa kwa muda maalum Taifa Stars wakati wa mechi dhidi ya Uganda zote mbili