Hivi David Mwantika aliondoka na Amunike?
Baada ya uteuzi wa mwalim Amunike wa kumpa nafasi Mwantika kuziba pengo la Morris wadau wengi walikosoa uteuzi wake.
Emmanuel Amunike aula tena !
Alitupa furaha ambayo tulikuwa tunaisubiri kwa muda mrefu , miaka 39 ndiyo miaka ambayo ilitufanya tusubiri ili twende kwenye michuano...
Amunike aliwezaje kufunga magoli?
Mpaka sasa unajua kuwa Stars ya Ettiene imefunga magoli mawili tu katika dakika 90 katika mechi tano.
Amunike kweli alikutana na wababe
Nigeria imetolewa katika hatua ya nusu fainali na timu ile ile iliyomfanya kibarua kiote nyasi.
Sasa tunamtaka Erasto Nyoni kikosi cha kwanza Stars
Uzoefu wa kuchezea Stars kwa miaka Zaidi ya 13 sasa, nguvu, ufundi na uwezo wa juu katika kuusoma mchezo.
Kutoka Misri 1-0 Stars, mwambieni Amunike Samatta ni namba 10, Bocco 9
Timu ya Tanzania jana ilikuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Misri, katika mchezo huo Tanzania ilipoteza kwa kufungwa bao moja bila. Je Kiwango cha timu umekikubali? Pitia uchambuzi huu
Wanaompinga Amunike, wamesahau sababu ya Yanga kuitwa Kandambili.
Uitwaji wa Kikosi cha Stars na jinsi kikosi hicho kinavyocheza, wadau wa soka wamekuwa wakimlaumu Amunike, na wengine kusema ilibidi aondoke baada ya kufuzu tu. Je hiki kisa unakikumbuka?
Kikosi cha Amunike chaanza mazoezi
Wachezaji 32 wapo kwenye Kambi huko Misri ambapo watachujwa na kubaki wachezaji 23 kwaajili ya mashindano ya AFCON.
Mkude achukue ‘uaminifu’ wa Costinha ndio atacheza nje ya Simba
Tumlaumu Mkude mwenyewe kwa kushindwa kwenda CAN 2019 nchini Misri si Amunike. Tenga muda uisome kwa makini hii.
Nini ambacho Mkude anatakiwa kufanya....
Amunike yupo sahihi kuwaacha Stars, Ajib na Mkude
Kuachwa kwa wachezaji hawa ‘mastaa vijana’ kutoka klabu kubwa nchini za Simba na Yanga kunapaswa kuwafumbua zaidi kimchezo vijana hao kama kweli wanataka kufikia malengo yao makubwa.