Mabingwa Afrika

Andika matokeo ya Al Ahly vs Simba ushinde tiketi ya VIP B.

Sambaza kwa marafiki....

Nenda sehemu ya maoni hapo chini uandike matokeo ya mechi hii, shabiki wetu wa kwanza kupatia matokeo atajishindia tiketi mbili za VIP B aje na rafiki yake wakati wa mechi ya marudiano jijini Dar es salaam.Maoni yamefungwa baada ya mechi kuanza


.

Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz