
Fuatilia uchambuzi wa mechi hizi zote zikiongozwa na mpambano utakaopigwa katika uwanja wa Samora mjini Iringa.
.
# | Timu | P | W | D | L | F | A | GD | Pts |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | Simba SC | 134 | 90 | 32 | 12 | 253 | 77 | 176 | 302 |
2 | Yanga SC | 129 | 76 | 36 | 17 | 182 | 85 | 97 | 264 |
3 | Azam FC | 130 | 66 | 40 | 24 | 174 | 93 | 81 | 238 |
4 | Tanzania Prisons | 125 | 39 | 50 | 36 | 107 | 107 | 0 | 167 |
5 | Mtibwa Sugar FC | 125 | 39 | 39 | 47 | 102 | 106 | -4 | 156 |
Unaweza soma hizi pia..
Rafiki yangu Ajib ananipa unyonge!
Ajib hajui mpira? Hapana. Kuna timu haitamani kipaji cha Ajib? Hapana. Katika ubora wake kuna timu katika ligi yetu Ajib anaweza kukaa benchi?
Juma Mgunda na utamu wa Coastal Union yake!
Mgunda mpaka sasa ameiongoza Coastal Union katika michezo 10 ya Ligi.
Alli Kamwe: Lengo Yanga na sio Mayele!
Mayele ni mchezaji muhimu kwenye Timu. Yanga inamuhitaji zaidi akiwa Fiti uwanjani kuliko yeye anavyokihitaji kiatu cha Ufungaji bora kabatini kwake.
Msemaji Simba: Mambo ni magumu!
Kila mwanasimba anatakiwa kufahamu hilo na kukubali mambo ni magumu.