archiveIringa

Lipuli FC vs Ndanda FC

Seleman Matola aliwahi nukuliwa kuwa anahitaji alama 10 tu kupata matumaini ya kubaki ligi kuu, hii ni mechi muhimu kwake ikikutana na Ndanda ambayo imepoteza mchezo wake dhidi ya Yanga nyumbani.