Kiatu alichopewa Abdul Hillary kina jina lake kabisa
Ligi Kuu

Kandanda imenipa nguvu ya kufunga zaidi ya Kagere -Hillary

Sambaza....

Jana mtandao wa kandanda. co.tz ulifanikiwa kumpa zawadi ya kiatu Abdul Hillary ambaye ni mchezaji wa KMC baada ya kuibuka mfungaji bora wa mwezi wa kumi na mbili mwaka jana.

Baada ya makabidhiano hayo alifanyiwa mahojiano na mmoja wa waandishi wa kandanda.co.tz , Thomas Mselemu

Thomas Mselemu: Tutegemee nini kutoka kwako (malengo uliyojiwekea katika idadi ya magoli) haswaa katika ufungaji ili kuinasua mkiani timu yako ya kmc?

Abdul Hillary : Mtegemee mazuri tuuu coz nimejipanga vzur niwezee kuisaidia tmu katika nafas hii tuliyokuwaa sasa hivi

Thomas Mselemu: Tuzo hii ya ufungaji bora wa mwezi inaa maana gani kwako kama mchezaji wa eneo la kiungo?

Abdul Hillary: Inanipa hamasa kubwa sna kwangu ili nizid kufanya vzur zaid katika mech zilizobakia za league.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.