Ligi Kuu

Makambo anaisoma namba aiseeh!

Sambaza kwa marafiki....

Mshambuliaji wa Yanga sc Heritier Makambo anaendelea kuisoma namba mbele ya Meddie Kagere katika chati ya ufungaji bora kwenye Ligi Kuu Bara.

Tazama hapa msimamo baada ya Kagere kufunga mabao mawili dhidi ya Ndanda fc!

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.