Tetesi

Makambo kutimkia Simba ?

Sambaza....

Klabu ya Yanga inaweza kuzidiwa mbio za kumsajili aliyewahi kuwa mshambuliaji wao wa zamani Heritier Makambo baada ya Simba kuingia kwenye mbio za kumsajili mshambuliaji huyo ambaye kwa sasa anakipiga Horoya FC ya Guinea.

Taarifa za ndani zinadai kuwa Herieter Makambo anawindwa kwa udu na uvumba na mabingwa wa soka nchini Simba. Awali kulikuwa na taarifa kuwa Yanga inataka kumrudisha Herieter Makambo.

Kwa habari zaidi endelea kufuatilia mtandao wa kandanda.co.tz kukupa mwendelezo wa habari hii.

Sambaza....