
Zahera
Jana katika uwanja wa Taifa kulikuwa na mechi kati ya Yanga na Azam FC, mechi iliyomalizika kwa Azam FC kushinda goli 2-0.
Baada ya mchezo huo kocha mkuu wa Yanga amedai kuwa mechi hiyo ilikuwa ni kama ya kirafiki kwa sababu wachezaji walikuwa wanacheza wanavyojisikia.
” Mechi haikuwa na ushindani, wachezaji walikuwa wanacheza bila maelekezo. Unaona Makambo anabaki na kipa lakini hakuna anachokifanya”.
Alisema kocha huyo ambaye amewezesha timu hii kushika nafasi ya pili licha ya matatizo mengi ya timu yake ya Yanga.
Unaweza soma hizi pia..
Ni vita ya historia Arusha.
Ni mchezo utakaowakutanisha wakubwa katika nchi hii, ukiwaondoa Simba na Yanga ni wazi Coastal Union na Azam Fc ni miongoni mwa vilabu vikubwa nchini
Tigana: Simba atashinda, Mayele amezoeleka!
Yes Mwanza imepata bahati ya kuandaa mtanange huu mkubwa Afrika Mashariki na Kati na uzuri ni kwamba lazima kuwepo na mshindi, huu sio mchezo wa Ligi kwamba uishe sare
Habari ikufikie Mwananchi!
Kikosi cha Yanga kipo kambini kamili gado tayari kabisa kumvaa Mnyama katika mchezo wa kisasi kwa upande wao
Jumamosi tulivu ya Sato na Sangara.
Makocha wote wawili ni waumini wa mifumo yenye idadi kubwa ya viungo pale kati ili kuleta usawa mzuri kwenye kushambulia na kijihami