Tetesi

Mwinyi Haji anaelekea Kinondoni…

Sambaza kwa marafiki....

Beki wa kushoto wa klabu ya Yanga Mwinyi Hajji yupo katika rada za wana “Kino Boys” KMC ili kukiimarisha kikosi chao.

Mwinyi Haji tayari amemaliza mkataba wake na Yanga na mpaka sasa uongozi wa Yanga upo kimya huku nafasi yake akiwepo Gadiel Michael na pia akiongezwa Mrundi Sibomana hivyo kuzidi kuweka ufinyu wa nafasi katika klabu ya Yanga

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.