Wachezaji wa Simba sc wakishangilia
Blog

Simba itaua Yanga kwa kisasi…..

Sambaza....

Kitu ambacho kinafurahisha ni  Simba na Yanga kukutana tena kwenye derby ya kariakoo. Timu hizi zinakutana zikiwa na hisia mbili tofauti Simba akiwa na presha ya kulipa kisasi Yanga akiwa na presha ya kutaka kucheza michuano ya kimataifa ili kuweza kupata ushawishi wa wachezaji wazuri na wakubwa kama atakuwa na pesa ya kusajili pia .

Ukiangalia kwa uzuri utakuta anayetaka kulipa kisasi (ambaye ni Simba) anakuwa na presha kidogo kwa kuwa yeye ameshakuwa bingwa na tayari ana nafasi ya kucheza kimataifa msimu ujao, ila kwa aina ya mchezo presha ya derby inabakia kuwa kubwa .

Luis Miquissone akishangilia bao katika mchezo dhidi ya KMC

Yanga ndio watakuwa na presha kubwa sana la sababu mechi hii itaamua uwezekano wa wao kucheza mechi za kimataifa, ila presha hii wakishindwa kuishusha inaweza ikawafanya wafanye vibaya kwa sababu  inaonekana kwao ubingwa wa FA ndio suala muhimu sana kwao na kihistoria Yanga wanapokuwa katika hali kama hii tena mbele ya Simba huwa wanapoteza mchezo , watahitaji kushindana na historia na kuwahakikishia mashabiki wa mpira kuwa wao msimu huu pamoja na yote walimkabili vzr mtani wake .

Kwa aina ya wachezaji wake nakumbushwa kuwa suala la Bernard Morrison linaweza kupata ufumbuzi wakati huu kwa maana ya kwamba Yanga kikosi kilichowasimamisha Simba haiwezekani akosekane Papy Kabamba, Bernard  Morrison na Balama Mapinduzi.

Balama Mapinduzi.

 

Sehemu nyingine ya kutazama ukiachana na presha za timu mbili ni namna Luc Eymael atakavyoingia kwenye mchezo ujao baada ya kocha huyo wa Yanga kuwanyamazisha mashabiki wake waliotaka kila mchezo kocha aanzishe washambuliaji wawili kitu ambacho hakikuzaa matunda na wanashangilia sasa matumizi ya mshambuliaji mmoja kitu ambacho kilijidhihirisha katila mchezo wa pili wa Derby kipindi Cha pili .

Upande wa Sven ameamua kuufanyia mazoezi mfumo wake wa matumizi ya viungo wengi uwanjani akiwagawa kwa mtindo wa 2:3 kwa maana ya viungo washambuliaji watatu Luis , Kahata , Chama na viungo wazuiaji wawili MKUDE na Mbrazil wake Fraga.

Sven Vandebroeck

Matumizi ya holding wawili walikuwepo mchezo wa kwanza wa Derby kwa maana ya Mkude na Mzamiru mambo yalivyokuwa inaonekana Ila kulikuwa na washambuliaji wawili nasubiri kuona itakuwaje tofauti na tulichokiona sasa Cha viungo wawili wazuiaji na watatu washambuliaji na mshambuliaji mmoja alitumika John Bocco.

Kikubwa mi mchezo na uhamishia kwa Walimu na aina ya wachezaji waliopo ila Simba wasione na kuamini kuwa itakuwa rahisi Sana itakuwa mchezo usiokuwa na Radha ya mchezo wa kimashindano ila kocha wa Yanga ananitamanisha kuona Tena atakujaje kwa namna alivyofanya analysis mchezo wa kwanza na kuapproach mchezo wa pili vile .

Sven pia amefanya analysis Bora dhdi ya Azam vs Yanga alivyokuja anaonekana nae Ni mtaalamu wa kufanya analysis na kuemploy taaluma yake na matokeo yake Jana tumeyaona .

Sina Shaka na waamuzi wa mchezo husika kwa namna derby msimu huu zinavyochezeshwa baada ya mchezo ule wa kwanza na mechi kubwa zinavyochezeshwa kwa siku za karibuni .

Nasubiri kuona vingi katika mchezo ujao ila Cha kwanza ni namna Makocha watavyoapproach mchezo atakaeshindwa kufanya analysis na kuapproach vibaya imekula kwake Kama kocha wa Azam ambae alishindwa kwa namna sahihi ya kucheza na Simba kwa kutumia wachezaji waliopo .

a mbele ya Simba huwa wanapoteza mchezo , watahitaji kushindana na historia na kuwahakikishia mashabiki wa mpira kuwa wao msimu huu pamoja na yote walimkabili vzr mtani wake .

Kwa aina ya wachezaji wake nakumbushwa kuwa suala la Morrison linaweza kupata ufumbuzi wakati huu kwa maana ya kwamba Yanga kikosi kilichowasimamisha Simba haiwezekani akosekane Papy , Morrison na Balama ionekane sawa japo performance ya Morrison haikuwa kubwa Sana zaidi ya speed na lile goli alilofunga .

Najaribu kuangalia Tena namna LuC atakavyoaaproach mchezo ujao baada ya kocha wa Simba kuwanyamazisha mashabiki wake waliotaka kila mchezo kocha aanzishe washambuliaji wawili kitu ambacho hakikuzaa matunda na wanashangilia sasa matumizi ya mshambuliaji mmoja kitu ambacho kilijidhihirisha katila mchezo wa pili wa Derby kipindi Cha pili .

Sven ameamua kuufanyia mazoezi mfumo wake wa matumizi ya viungo wengi uwanjani akiwagawa kwa mtindo wa 2:3 kwa maana ya viungo washambuliaji watatu Luis , Kahata , Chama na viungo wazuiaji wawili MKUDE na Mbrazil wake Fraga.

Matumizi ya holding wawili walikuwepo mchezo wa kwanza wa Derby kwa maana ya Mkude na Mzamiru mambo yalivyokuwa inaonekana Ila kulikuwa na washambuliaji wawili nasubiri kuona itakuwaje tofauti na tulichokiona sasa Cha viungo wawili wazuiaji na watatu washambuliaji na mshambuliaji mmoja alitumika John Bocco.

Kikubwa mi mchezo na uhamishia kwa Walimu na aina ya wachezaji waliopo ila Simba wasione na kuamini kuwa itakuwa rahisi Sana itakuwa mchezo usiokuwa na Radha ya mchezo wa kimashindano ila kocha wa Yanga ananitamanisha kuona Tena atakujaje kwa namna alivyofanya analysis mchezo wa kwanza na kuapproach mchezo wa pili vile .

Sven pia amefanya analysis Bora dhdi ya Azam vs Yanga alivyokuja anaonekana nae Ni mtaalamu wa kufanya analysis na kuemploy taaluma yake na matokeo yake dhidi ya Azam ambayo tumeyaona .

Sambaza....