Sonso akisalimiana na mashabiki baada ya mechi
Blog

Tshabalala, Sonso watemwa Taifa Stars

Sambaza kwa marafiki....

Kaimu kocha mkuu wa timu ya Taifa Tanzania, Etienne, ametaja orodha ya wachezaji 25 kwaajili ya mchezo wake dhidi ya Kenya mwishoni mwa mwezi huu.

Tanzania itakutana na Kenya katika mechi yake ya kwanza kutafuta tiketi ya CHAN, michuano inayohusisha wachezaji wanaocheza Ligi za Afrika.

Timu hizi zinakutana tena baada ya mara ya mwisho kukutana katika michuano ya AFCON, ambapo timu zote ziliondolewa huku Kenya akiambulia alama 3 baada ya kuichapa Tanzania tu.

Salim Aiyee

Katika orodha hii, kuna sura ngeni akiwemo Salim Aiyee huku wengine wakiachwa kutoka katika kikosi cha Amunike cha awali.

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.