Yusuph Mhilu (Kagera) akizidi kumtoka Makame (Yanga)
Ligi Kuu

Wafahamu wababe wanaokwenda kupambania kombe!

Sambaza....

Baada ya mchezo wa Ngao ya Jamii uliopigwa siku ya Jumapili jijini Arusha kuashiria kuanza kwa Ligi Kuu Bara sasa ni rasmi Ligi hiyo inarejea rasmi September 6 Jumapili.

Tazama hapa wababe 18 wakaokwenda kunyeshana ubabe katika msimu wa 2020/2021 ambapo Simba sc ndie bingwa mtetezi wa kombe hilo.

Nicholaus Wadada raia wa Uganda akiitumikia Azam fc.
#TimuPWDLGDPts
13426536483
234211123174
334191142868
434131110-450
534139121248
63410159245
734101410044
834111112-344
934101311-743
103411815-441
1134101014-440
1234101014-1740
133410915-1039
143411617-1339
153481115-835
16349817-1935
173454254519
18345425-4519


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.