Sambaza....

Kagera Sugar na Mwadui Fc zimeingia katika hatua ya mtoano dhidi ya timu za ligi daraja la kwanza ili kuamua nani atabaki au atapanda Ligi Kuu.  Salimu Aiyee ni mfungaji bora kwa wazawa, lakini timu yake ipo hatarini kushuka daraja.

Tazama ratiba yao hapa chini, na endelea kufuatilia kandanda kujua ni timu zipi zitapanda.




Timu mbili zinasubiriwa kuungana na hizi 18

PosTimuPFAGDPts
1224445128317519
2217380126254495
3218331160171423
4217181213-32263
5216181231-50257
6187155180-25243
7188176208-32230
8196179219-40226
91511631612207
10169154187-33196
11165144199-55182
1212999115-16161
1311193130-37132
14108119134-15131
1510696115-19128
161068297-15123
1710786120-34122
189984112-28120
198186824118
2010575101-26118

Sambaza....