
Mshambuliaji wa klabu ya Mbeya City, Eliud Ambokile, yupo safarini muda huu kuelekea Misri kwaajili ya majaribio karika klabu ya El Gouna SC inayoshiriko Ligi Kuu nchini humo.

Kwa mujibu wa ukurasa wa Instagram wa klabu hiyo, taarifa zinasema klabu hiyo itaendelea kuwapa fursa wachezaji wake kwenda kufanya majaribio nje ya Nchi kwa lengo la kukuza vipaji vyao na mafanikio katika mpira wa miguu.

Ambokile ameifungia klabu yake ya Mbeya City msimu huu bao 10.
Unaweza soma hizi pia..
Rafiki yangu Ajib ananipa unyonge!
Ajib hajui mpira? Hapana. Kuna timu haitamani kipaji cha Ajib? Hapana. Katika ubora wake kuna timu katika ligi yetu Ajib anaweza kukaa benchi?
Juma Mgunda na utamu wa Coastal Union yake!
Mgunda mpaka sasa ameiongoza Coastal Union katika michezo 10 ya Ligi.
Alli Kamwe: Lengo Yanga na sio Mayele!
Mayele ni mchezaji muhimu kwenye Timu. Yanga inamuhitaji zaidi akiwa Fiti uwanjani kuliko yeye anavyokihitaji kiatu cha Ufungaji bora kabatini kwake.
Msemaji Simba: Mambo ni magumu!
Kila mwanasimba anatakiwa kufahamu hilo na kukubali mambo ni magumu.