Uhamisho

Azam fc yawazidi Yanga kwa Awesu

Sambaza kwa marafiki....

Klabu ya soka ya Azam FC imefanikiwa kumsajili kiungo Awesu Awesu kutoka Kagera Sugar. Mchezaji huyo amejiunga na klabu ya Azam FC kwa mkataba wa miaka miwili.

Awali kulikuwa na taarifa ya Yanga kumwihitaji Awesu Awesu lakini inavyoonekana Azam FC imeshinda mbio hizi za kumsajili Awesu Awesu. Awesu Awesu aliwahi kuwa mchezaji wa Azam Academy hivo anarudi nyumbani.

www.kandanda.co.tz

Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz