Mabingwa Afrika

Matukio ya Mchezo wa Ligi ya Mabingwa, Simba vs JS Saoura katika picha.

Sambaza kwa marafiki....
Wachezaji wa JS Saoura wakipiga jaramba kabla ya mtanange.
Mashabiki wa Simba.
Mashabiki wa JS Saoura
Emmanuel Okwi baada ya kufunga bao la kwanza.
Thomas Ulimwengu wa JS Saoura
Wanakandanda wakiwa katika harakati uwanjani.
Umati wa Mashabiki waliojitokeza kutazama mtanange.
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.