Kwa misimu miwili wageni wanakimbiza ufungaji!
Huku namba wachezaji wa kigeni waliofanya vizuri katika ufungaji wa mabao wakiwa wameondoka nchini kina Emmanuel Okwi na Heritier Makambo.
Sitoshangaa Okwi akisajiliwa tena msimu ujao na Simba
Kuna penzi tamu kama penzi la Emmanuel Okwi na timu ya Simba ?. Hapana shaka ni mara chache sana kuona wapenzi wa aina hii katika dunia ya leo.
Sijashangazwa na Chirwa, nashangaa Miraj kumbadili Okwi Simba SC
Miraj huenda akatambulishwa hivi karibuni, jezi yake namba 7 aliyokuwa akiivaa Lipuli Fc anakuja nayo Simba Sc
Okwi sio mchezaji wa Simba! Kaizer Chiefs yahusika
"Na mpaka sasa hivi kwenye mikono yake amedai kuwa ana ofa tatu mpaka sasa hivi, hivo tumemwacha aende Afcon, akirudi tutazungumza naye".
Emmanuel Anorld Okwi!
Kwa maana hiyo Okwi amehusika katika mabao matano katika michezo mitano ya Simba katika Ligi Kuu Bara.
Baada ya “double hatrick” Simba watawala ufungaji bora
Baada ya Emmanuel Okwi na Meddie Kagere kufunga mabao matatu katika mechi moja kwa mara ya kwanza msimu huu katika mchezo dhidi ya Coastal Union ni wazi sasa katika vita ya ufungaji bora imetawaliwa na wachezaji kutoka Simba sc
Okwi mtamu Kanda ya Ziwa, Manula hapana.
Simba sasa imebakisha mchezo mmoja katika ukanda huo watakaoucheza kesho dhidi ya Biashara United ya Mara.
Pengo la Okwi litazibika kwa masharti makuu manne, haya hapa.
Simba wanahitaji kucheza kwa nidhamu kubwa sana, hasa “marking”, na aina ya mchezo wanaotaka kuucheza.
Kichuya hayupo, kabaki Emmanuel Okwi wa kuwaua YANGA
Emmanuel Okwi yuko hivo kwa sasa, anajiona kama kiongozi mkuu ndani ya timu ya Simba. Jambo ambalo ni zuri sana.
Kiufundi! Nani hatari zaidi kati ya BOCCO, OKWI na KAGERE.
John Bocco yeye husimama katikati ya mabeki wawili muda mwingi. Unaposimama katikati ya mabeki wawili, mabeki huwekeza muda mwingi kwako, hivo kuacha uwazi eneo jingine la nyuma.