Ligi Kuu

Mtoto wa Mfalme anawakimbiza!

Sambaza....

Kuelekea kumalizia raundi ya nne ya Ligi Kuu Bara tayari Azamfc ipo kileleni kwa alama 12 huku pia mshambuliaji wake Prince Dube akiongoza chati ya ufungaji mabao mpaka sasa.

 


Sambaza....