Mtoto wa Mfalme anawakimbiza!
Mbio za kuwania Galacha wa mabao tayri zimeanza kwa kasi katika msimu huu.
CLATOUS,KAHATA KUTUA WIKI IJAYO,SHARAAF BADO.
Kocha mkuu mkuu wa klabu ya Simba Sc Sven Vandenbroeck ameweka wazi kuwa wachezaji Clatous Chama ambae yupo Zambia na...
Chama angecheza wapi hata hivyo….
Lakini hebu tujiulize mwamba huyu wa Lusaka angecheza wapi katika kikosi hicho cha Yanga?
Huku Haruna kule Chama!
Mchezo huo utatupa majibu ni nani atakaekua mbabe zaidi ya mwenzake katika ufundi na kuisaidia timu yake kutoka katika eneo la katikati ya uwanja.
Simba imefagia ‘Mapro’ hawa
Simba inaendelea kujiimarisha kwaajli ya Ligi ya Mabingwa msimu pamoja na Ligi kuu. Huenda ikaleta sura mpya nane kutoka nje.
Muzamiru Yassin anaweza kuwa bora zaidi ya Chama, Niyonzima….
Kutokushinda tunzo ni jambo lingine, lakini kitendo tu cha kumudu kuwepo katika orodha ya viungo watatu bora wa klabu yake msimu uliopita ni ishara njema zaidi kwake kama ataendelea kujituma na kufuata maelekezo ya walimu wake.
Kikosi cha Simba hiki hapa Chama na Haruna kuanza pamoja kesho!
Hata baada ya mazoezi kuisha wawili hao walionekana wakiwa pamoja kama wanajadili mambo huku wakionekana wenye hamasa.
Chama ni wa hapa hapaa tuu?
Je Cleotus Chama ni wakutesa hapa hapaa tuu katika Ligi yetu?