Baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ngao ya Jamii jijini Arusha kikosi chote cha Simba kilipanda ndege kurudi Dar halafu wakaunganisha ndege kwenda Mbeya ili kuiwahi Ihefu.
Kabla ya kuitumikia Lusaka Dynamos Cris Mugalu ambae ni raia wa Congo alikua Green Eagles ya Zambia katika msimu wa 2018 kabla ya mwaka 2019 kujiunga na Lusaka Dynamos.