Mabingwa Afrika

Nyoni kukosa mechi ya kwanza Klabu Bingwa.

Sambaza kwa marafiki....

Kiraka wa Simba, Erasto Nyoni atakuwa nje ya uwanja kwa wiki tatu kufuatia majeraha ya goti aliyoyapata katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi dhidi ya KMKM hapo jana.

Nyoni ataukosa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya JS Saoura unaotarajiwa kuchezwa jijini Dar es Salaam Januari 12 mwaka huu.

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.