Miguu ya Pascal Wawa na Erasto Nyoni imepungua kasi
Tuanzie hapa , unakumbuka ile Simba ya Patrick Aussems ? Simba ya msimu jana ambayo ilifanikiwa kufika hatua ya robo...
Shamte apewe muda, yule Msuva hatari! Unamuelewa Mao?
Hii hapa mpwa wangu nimekuletea zawadi hii kutoka Bujumbura kuhusu wachezaji walivyocheza, twende sasa..
Sasa tunamtaka Erasto Nyoni kikosi cha kwanza Stars
Uzoefu wa kuchezea Stars kwa miaka Zaidi ya 13 sasa, nguvu, ufundi na uwezo wa juu katika kuusoma mchezo.
Auseems: Tunamkosa beki wetu muhimu leo
Kocha wa Simba Patrick Aussems amethibitisha kukosa huduma ya beki wake huyo.
Huyu Nyoni ni habari nyingine, Tungeendaje kuwavaa Uganda bila yeye?
Nyoni kuna funzo katupa jana kwa kiwango chake kazi kwetu kuamua kujifunza au kujifanya hatujaona kitu tukumbuke shukakumekucha.
Erasto Nyoni aangushiwa msalaa na Uongozi Simba.
Pengine kiwango hafifu alichokionyesha beki Paul Bukaba katika mchezo dhidi ya JS Saoura.
Simba kuwakosa nyota wake katika Sportpesa super cup.
Simba sc kuelekea mchezo wa kesho itawakosa wachezaji wake kutokana na sababu mbalimbali.
Simba wakanusha, Nyoni kukaa nje Majuma matatu.
Nyoni anaendelea na vipimo leo hapa Dar es Salaam na taarifa zaidi itatolewa kesho na Msemaji wa Klabu
Nyoni kukosa mechi ya kwanza Klabu Bingwa.
Simba itacheza mechi ya kwanza tarehe 12 Jijini Dar
Beki Simba amerudi mwanangu!
Kurudi kwa Salim Mbonde kunamaanisha kuzidi kuongezeka kwa ushindani katika eneo la beki wa kati, mpaka sasa nafasi hiyo ina mabeki watano lakini mwalimu Patrick amekua akiwatumia Pascal Wawa na Erasto Nyoni.