Tetesi

Rasmi James Kotei kutua Yanga leo

Sambaza....

Baada ya kuwepo na tetesi kuhusu James Kotei kutemwa na klabu yake ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini,  Leo hii imedhibitishwa kuwa James Kotei atakuwa katika ardhi ya Tanzania kwa ajili ya kujiunga na klabu ya Yanga.

Kiungo huyo wa zamani wa Simba anatarajiwa kujiunga na mabingwa hao wa kihistoria nchini kuanzia Leo jioni. Ujio wa James Kotei utakuwa hatarisho kwa wachezaji kadhaa wa Yanga ambao wanacheza eneo hilo la kiungo cha kuzuia.

Eneo hili kwa sasa kuna watu kama Abdulaziz Makame , Faisal Fei Toto , Patrick Tshishimbi . Hivo ujio wake utaongeza ushindani mkubwa ndani ya kikosi cha yanga


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.