wamesheheni wachezaji wakubwa na wenye majina ambao wamepita vilabu vikubwa nchini kama Simba, Yanga, Azam, Mbeya city na KMC, lakini pia ina nyota wa kigeni kutoka mataifa mbalimbali.
James Kotei anaonekana kuwa katika wakati mgumu Baada ya timu yake ya Kaizer Chiefs kuachana naye . Kuachana na mchezaji huyo kunamfanya awe huru kusajiliwa na timu yoyote kwa makubaliano binafsi.