Ligi Kuu

Simba wanalazimika kuwa watumwa!

Sambaza....

Klabu ya Simba imeendeleza kupata matokea yasiyoridhisha katika NBC Premier League baada ya kutoka sare ya mabao mawili kwa mawili na Namungo Fc ugenini.

Simba walikua wageni wa Namungo katika Uwanja wa Ilulu Lindi walijikuta katika wakati mgumu baada ya kujikuta wakilazimika kuchomoa mabao  kila kipindi baada ya kutanguliwa mara mbili.

Kibu Denis akipiga shuti mbele ya Khalifa wa Namungo Fc

Ni wazi sasa wachezaji wa Simba wamekata tamaa ya ubingwa baada ya tofauti ya alama dhidi yao na Yanga kuwa kubwa.

Sikiliza hapa uchambuzi wa mchezo wa jana kati ya Namungo na Simba.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.