Polisi Tanzania yahama Moshi yatimkia Dar!
Kutokana na umuhimu wa michezo hii iliyobaki katika kusaka alama tatu, uongozi umeona ni vyema kuhamia Dar.
Simba wanalazimika kuwa watumwa!
Ni wazi sasa wachezaji wa Simba wamekata tamaa ya ubingwa baada ya tofauti ya alama dhidi yao na Yanga kuwa kubwa.
Simba na mfupa mgumu mbele ya Julio!
Julio siku zote huwa anaamini yeye ni bora kuliko hawa makocha wa kigeni wanaokuja kufanya kazi na hizi timu.
Simba Mtwara, Yanga Kigoma!
Baada ya suluhu katika dimba la Benjamin Mkapa, sasa vigogo hao watapaswa kuendelea na majukumu mengine.
Ali Kamwe: Mabeki wa Namungo waliizawadia Yanga ushindi.
AGGREY MORRIS Mayele alishathibitisha ili umzuie inahitaji AKILI, NGUVU NA UMAKINI MUDA WOTE
Yanga na Namungo ni vita ndani ya vita kwa Mkapa.
Hivyo very possible kupata magoli wote wawili kwenye mechi hii na kufanya mbio za kuwania kiatu cha ufungaji bora kuwa ng'adu ng'adu kwa wawili hao.
Polisi: JKT hawapati kitu.
burudani kwa mashabiki wake ambao tangu msimu huu uanze hawajaiona timu yao na pia hawajawaona wachezaji wao wapya.
Ihefu: Tunaitaka nne bora!
John Mbise pia hakusita kutoa sababu zilizomfanya kuondoka katika timu ya Namungo fc
Mambo usiyoyajua mechi za ufunguzi Ligi Kuu
Tunastahili kusimama na kumpigia makofi John Bocco.
Namungo watatupa changamoto- Bocco
Tutafanya kila jitihada kuhakikisha tunashida. Wachezaji 20 wapo tayari kwa mchezo.