archiveManchester United

EPL

Hawa ndio nyota sita, wanaoondoka Manchester United.

Klabu ya soka ya Manchester United ipo mbioni kuwaachia nyota wake sita katika kipindi cha majira ya joto kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuisha mikataba, kupungua viwango vyao pamoja na sababu nyingine mbalimbali. Nia hiyo ni maalumu kwa ajili ya kumsaidia Kocha Ole Gunnar Solskajaer kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi...
EPL

Ole: United inahitaji alama 15 kuingia ‘Top Four’!

Meneja wa klabu ya soka ya Manchester United Ole Gunnar Solskajaer amesema ili waweze kumaliza katika nafasi nne za juu kwenye ligi kuu England ni lazima washinde michezo mitano kati ya sita ambayo imebaki. Ole ameyasema hayo baada ya timu yake kukubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Wolverhampton Wanderers...
EPL

Ole apewa rasmi usukani wa Manchester United.

Klabu ya soka ya Manchester United imemtangaza kocha Ole Gunnar Solskjaer ambaye alikuwa akikaimu nafasi ya umeneja toka kuondoka kwa Jose Mourihno kuwa meneja wa kudumu kwa mkataba wa miaka mitatu. Kocha huyo ambaye alikuwa akiifundisha Molde ya nchini Norway toka mwaka 2015 amechukua rasmi mikoba ya Jose Mourihno katika...
EPL

Manchester city yajawa na matumaini ya kunasa saini ya Ronaldo.

Klabu ya soka ya Manchester City ya England imepata matumaini ya kumsajili kinda wa Benfica ya Ureno Ronaldo Camara ambaye anawaniwa na vilabu vingine vikubwa ikiwemo Barcelona na Manchester United. Kinda huyo mwenye umri wa miaka 16 ni miongoni mwa wachezaji wanaotajwa kuwa tishio katika siku za usoni kwani tayari...
1 2 3 6
Page 1 of 6
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz