
Yanga sc inaendelea kusonga mbele na kujikita kileleni ikiwa na alama 67 baada ya kuwapiga watoto wa mjini “Kino Boys” kwa bao mbili kwa moj pale Taifa.
Tazama msimamo hapo chini utaona jinsi Yanga alivyowaacha mbali wapinzani wake wa karibu ambao ni Azam fc na Simba sc.
Pamoja na kusemekana klabu haina hela lakini Yanga bado wanaendelea kupambana na kupata matokeo yanayowafanya kuendelea kukaa kileleni. Lakini pia Yanga timu ya Wananchi haipo nyuma kwenye ufungaji wa mabao. Katika chati ya ufungaji wa mabao juu pale yupo mtu wa Congo kutoka Yanga Heritier Makambo.
Makambo
Na. | Mchezaji | Timu | Nafasi | |||
---|---|---|---|---|---|---|
1 | ![]() | ![]() | Mshambuliaji | 23 | 0 | 0 |
2 | ![]() | ![]() | Mshambuliaji | 18 | 0 | 0 |
3 | ![]() | ![]() | Mshambuliaji | 17 | 0 | 0 |
4 | ![]() | ![]() | Mshambuliaji | 16 | 0 | 1 |
5 | ![]() | ![]() | Mshambuliaji | 15 | 0 | 0 |
Unaweza soma hizi pia..
Alli Kamwe: Lengo Yanga na sio Mayele!
Mayele ni mchezaji muhimu kwenye Timu. Yanga inamuhitaji zaidi akiwa Fiti uwanjani kuliko yeye anavyokihitaji kiatu cha Ufungaji bora kabatini kwake.
Msemaji Simba: Mambo ni magumu!
Kila mwanasimba anatakiwa kufahamu hilo na kukubali mambo ni magumu.
Kola na mfupa uliomshinda Mayele!
Licha ya Fiston Mayele kusifiwa na kuoneoana ni moja ya washambuliaji hatari katika Ligi lakini hakufanikiwa kufunga
George Mpole anaishi ndoto zetu!
juhudi binafsi za George Mpole na ndio maana utofauti wa mabao ya kufunga na kufungwa ni 1 kwao lakini yeye pekeake Mpole ana mabao 13.