Ligi Kuu

Abdallah Ninja afungiwa mechi 3

Sambaza kwa marafiki....

Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania- TFF imemfungia beki wa klabu ya Yanga, Abdallah Shaibu Ninja kutocheza mechi tatu mfululizo na faini ya milioni 2.

Adhabu hiyo imetolewa leo baaada Kamati hiyo kubaini kuwa Abdalah Shaibu Ninja alimpiga kiwiko beki wa Coastal Union katika mechi iliyochezwa februari 2, katika uwanja wa Mkwakwani Tanga.

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.