Kamati ya Nidhamu ya TFF imebaini kuwa Abdalah Shaibu Ninja alimpiga kiwiko beki wa Coastal Union katika mechi iliyochezwa katika uwanja wa Mkwakwani Tanga.
Kukubali kusikilizwa kwa Abdalah Shaibu "Ninja" kutakuwa na maana ya kwamba adhabu yake imeondolewa mpaka pale kamati ya nidhamu ya TFF itakapomsikiliza.