Uhamisho

Baada ya Bocco, Simba kutangaza mwingine leo!

Sambaza kwa marafiki....
Aishi Manula, golikipa wa Simba Sc, ameshasaini kuitumikia klabu ya Simba Sc. Kwa sasa yupo na timu ya Taifa nchini Misri.

Baada ya jana Simba Sc kutangaza kumuongezea mkataba John Bocco, leo hii itatangaza mchezaji mwingine tena waliomsajili.

 

Akizungumza na mtandao huu mtendaji mkuu wa klabu ya Simba, Bwana Magori amedai kuwa leo kutakuwepo na tangazo jipya la mchezaji.

” Watu wakae kwenye mitandao ya kijamii kuna mwingine atatangazwa leo”- alidai Magori

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.