Clatous Chama
Ligi Kuu

Chama angecheza wapi hata hivyo….

Sambaza kwa marafiki....

Makamu mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela, ameshaomba radhi kwa taarifa yake ya mwanzo kuwa walikuwa wakimuhitaji Cloutus Chama. Lakini hebu tujiulize mwamba huyu wa Lusaka angecheza wapi katika kikosi hicho cha Yanga? au Yanga ingetisha sana!.

Mwakelebela amenukuliwa akisema, kuwa ule ulikuwa ni utani wa Yanga na Simba tu.


Klabu Bingwa Afrika Kundi D

MsimuTimu
2018-2019Simba SC1000000
2019-2020Simba SC0000000
2020-2021Simba SC0000000
Jumla-1000000

TPL

MsimuTimu
2018-2019Simba SC7000000
2019-2020Simba SC2000000
2020-2021Simba SC0000000
Jumla-9000000

Klabu ya Simba pia imepeleka malalamiko katika shirikisho la Soka Tanzania kulalamika kwa nini Yanga imefanya mazungumzo na Chama wakati bado yumo katika mkataba. Simba imeomba klabu ya Yanga ichukuliwe hatua stahiki kwa kitendo hicho.

Tupe maoni yako katika sehemu ya maoni hapo chini.

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.