Ligi Kuu

Huyu ndiye mchezaji wangu wa msimu

Sambaza....

Ligi Kuu Tanzania bara, inayodhaminiwa na NBC inaelekea ukingoni. Mtandao huu unawakaribisha washabiki wa kandanda kupendekeza mchezaji ambaye ni bora zaidi katika msimu 2021/2022.

Tuandikie jina lake na kwanini unadhani anastahili kuwa mchezaji bora wa msimu.

Mchezaji atakayezungumziwa zaidi katika sehemu ya maoni hapa ataibuka kama “Best Footballer by Fans


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.