
Wawakilishi wa Tanzania katika kombe la Kagame Simba Sc ambao pia ni mabingwa wa Ligi Kuu msimu 2018/2019 wamethibitisha kujitoa katika michuano ya Kagame.
Michuano hiyo a inadhaminiwa na Rais wa Rwanda, Paul Kagame inatarajiwa kufanyika nchini Rwanda mapema mwezi Julai mwaka huu.

Sababu kuu iliyotolewa na klabu hiyo ni Maandalizi kwaajili ya msimu ujao 2019/2020 wa Ligi Kuu.
Ikumbukwe pia klabu ya Yanga ilipata mwaliko katika michuano hii na kuupokea kwa furaha zaidi.
Unaweza soma hizi pia..
Alli Kamwe: Kumbe bila moto wanateseka!
: Asante Moalin. Asante Pablo Franco, Mechi ilichezwa sana kwenye mbinu kisha ikamalizikia kwenye Ufundi wa wachezaji.
Azam kujimaliza yenyewe mbele ya Simba!
Miongoni mwa maeneo yatakayopa ushindi Simba katika mchezo huo ni eneo la kiungo na eneo la mlinda mlango.
Kola tishio jipya kwa Onyango na Inonga
Hazikupita siku nyingi Mayele akakutana na Simba na kutiwa mfukoni na Mcongo mwenzake Inonga Baka na kupeleka kuzima mtetemo wake
Moto wawaponza Simba CAF.
Simba iatapaswa kulipa pesa hizi ndani ya siku 60 tangu kutoka kwa hukumu hiyo, lakini pia wana siku tatu za kukataa rufaa.