ASFC

Tigana: Simba atashinda, Mayele amezoeleka!

Sambaza....

Mchezo wa nusu fainali uliokua unasubiriwa kwa hamu na wapenzi wa Kandanda nchini hatimae umefika na leo nyasi za CCM Kirumba zitakua na kazi kubwa ya kuamua mbabe.

Yes Mwanza imepata bahati ya kuandaa mtanange huu mkubwa Afrika Mashariki na Kati na uzuri ni kwamba lazima kuwepo na mshindi, huu sio mchezo wa Ligi kwamba uishe sare.

Mlinzi wa Simba Mohamed Hussein akitafuta mbinu za kumthibiti mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele

Kiufundi Tigana Lukinja anawachambua mapacha hawa wa Kariakoo na kuipa nafasi kubwa Simba kuibuka washindi kutokana na mbinu sahihi za kocha Pablo.

Tazama hapa jinsi Mpwa Tigana alivyoichambua mechi hiyo na sababu za kuipa ushindi Simba.


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.