TahaririWaliopata tuzo wamepata, kamati ya tuzo ikubali changamoto!Tigana Lukinja1 month agoEneo jingine lenye ukakasi kwangu ni tuzo ya mchezaji wa Championship (zamani ligi daraja la kwanza) na ile ya first ligi (zamani daraja la pili).
TetesiYanga yataja siku ya kumtambulisha Aziz Ki!Thomas Mselemu2 months agoSenzo Mazingisa pia alikanusha uvumi wa Fiston Mayele kusajiliwa na Kaizer Chiefs na kusema kuna wanahabari wanataka kuwachanganya.
Ligi KuuHizi hapa mechi kali zakumalizia Ligi!Tigana Lukinja2 months agoBinafsi hii ndiyo michezo mikubwa miwili ninayoiangalia kwa jicho la uoga kwa kuwa ina maamuzi na hatma ya timu. Fiston Mayele na George Mpole!?
TetesiWababe wa Simba wakataliwa kwa Mayele!Thomas Mselemu2 months agoKwa hakika nimekua nikipokea ofa kutoka nchi mbalimbali Afrika wakimuulizia Mayele.
ASFCTigana: Simba atashinda, Mayele amezoeleka!Thomas Mselemu3 months agoYes Mwanza imepata bahati ya kuandaa mtanange huu mkubwa Afrika Mashariki na Kati na uzuri ni kwamba lazima kuwepo na mshindi, huu sio mchezo wa Ligi kwamba uishe sare
Ligi KuuAlli Kamwe: Lengo Yanga na sio Mayele!Thomas Mselemu3 months agoMayele ni mchezaji muhimu kwenye Timu. Yanga inamuhitaji zaidi akiwa Fiti uwanjani kuliko yeye anavyokihitaji kiatu cha Ufungaji bora kabatini kwake.
Ligi KuuKola na mfupa uliomshinda Mayele!Thomas Mselemu3 months agoLicha ya Fiston Mayele kusifiwa na kuoneoana ni moja ya washambuliaji hatari katika Ligi lakini hakufanikiwa kufunga
Ligi KuuGeorge Mpole anaishi ndoto zetu!Thomas Mselemu3 months agojuhudi binafsi za George Mpole na ndio maana utofauti wa mabao ya kufunga na kufungwa ni 1 kwao lakini yeye pekeake Mpole ana mabao 13.
Ligi KuuKola tishio jipya kwa Onyango na InongaThomas Mselemu3 months agoHazikupita siku nyingi Mayele akakutana na Simba na kutiwa mfukoni na Mcongo mwenzake Inonga Baka na kupeleka kuzima mtetemo wake
Ligi KuuMayele alistahili kupiga penati.Thomas Mselemu3 months agoNi kwa mara ya kwanza katika msimu huu Yanga imecheza michezo mitatu mfululizo bila kutoka na ushindi na bila kufunga bao lolote