TimuUshirikiHatua iliyofikia mara ya Mwisho
Tanzania (Mwenyeji)Mara 2Hatua ya Makundi (2017)
MoroccoMara 2Nafasi ya Nne (2013)
SenegalMara 2Hatua ya Makundi (2011)
GuineaMara 7Nafasi ya  Tatu (1995, 2015, 2017)
NigeriaMara 9Mabingwa  (2001, 2007)
CameroonMara 7Mabingwa  (2003)
UgandaMaara 1Mara ya kwanza
AngolaMara 4Hatua ya Makundi  (1997, 1999, 2017)

Wachezaji wanaoruhusiwa kushiriki ni wale waliozaliwa kuanzia tarehe 01/01/2002 na kuendelea.