Events

Haya ni matukio/tamasha ambayo huandaliwa na husiwamiwa na tovuti ya Kandanda.co.tz. Tutaendelea kuongeza matukio zaidi rasmi ili kuwapa burudani wasomaji wetu.

Kandanda Day


Tamasha la mpira wa miguu ambalo linaandaliwa kwa mara yatu ndani ya mwaka mmoja.  Utaratibu wa Msimu 7A, 7B na 7C Grand Finale (Season 7A, 7B and 7C) umeanza mwaka 2019, itakuwa na muendelezo wa mwaka unaofuata kuwa Msimu 8A, 8B na 9C na kuendelea.

Lengo kuu la kuvunja ifanyike mara tatu kwa mwaka, ni kuongeza burudani kwa wapenzi wasomaji wetu na wanakandanda wote.


TelecomSoka Fest


Tamasha la mpira wa miguu ambalo linahusu timu kutoka makampuni ya huduma za simu za mkononi Tanzania tu. Limepangwa kufanywa kwa mara ya kwanza mwezi wa tatu mwaka 2019

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.