Telecom Soka Fest

Sambaza kwa marafiki....

Tamasha la mpira wa miguu ambalo litahusisha timu kutoka makampuni ya huduma za simu za mkononi Tanzania tu. Limepangwa kufanywa kwa mara ya kwanza mwezi wa tatu mwaka 2019


Viwanja vya Chuo kikuu cha Dar Es Salaaam

Tarehe 02/03/2019


Shughuli:

Mechi ya Mpira wa Miguu

Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.