| Timu | Ushiriki | Hatua iliyofikia mara ya Mwisho |
| Tanzania (Mwenyeji) | Mara 2 | Hatua ya Makundi (2017) |
| Morocco | Mara 2 | Nafasi ya Nne (2013) |
| Senegal | Mara 2 | Hatua ya Makundi (2011) |
| Guinea | Mara 7 | Nafasi ya Tatu (1995, 2015, 2017) |
| Nigeria | Mara 9 | Mabingwa (2001, 2007) |
| Cameroon | Mara 7 | Mabingwa (2003) |
| Uganda | Maara 1 | Mara ya kwanza |
| Angola | Mara 4 | Hatua ya Makundi (1997, 1999, 2017) |
Wachezaji wanaoruhusiwa kushiriki ni wale waliozaliwa kuanzia tarehe 01/01/2002 na kuendelea.

