BlogSimba imuangalie UPYA GomezSekwao Mwendi12/09/2020Kwa kuzingatia Majukumu haya mawili, acha tumchimbe Gomez wa Simba ili kujua kama atakuwa amefanikiwa au amefeli ndani ya Msimu wake mmoja.