Uwanja wa SIMBA ungeitwa jina la Hassan Dalali na siyo jina la MO !
Kuna hadithi nyingi sana ambazo ziko wazi kwenye dunia hii , hadithi ambazo zimejumuisha mashujaa wetu , hadithi ambazo...
Ratiba ya “Simba day” yaingia mchanga.
Tukio hili limefanikiwa kwa miaka 9 tangu kuanzishwa kwake mwaka 2009 na aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo Mzee Hassani Dalali. Maadhimisho ya miaka 10 ya Siku ya Simba huenda yakaingia