Kibabage ameenda, Chilunda amerudiAbdul Mkeyenge5 years agoMwisho wa yote namkaribishaa Chilunda nyumbani. Karibu kaka. Karibu sana. Sihitaji kukwambia kuhusu Dar es Salaam ilivyo. Najua unaijua sana.