Pondamali ni ‘gwiji’ lakini asimkosee heshima Kindoki
Sitaki kuzungumzia kuhusu ubora wa Kindoki kama ana faa au hafai lakini kikubwa ni kutaka kumkumbusha kocha wa makipa wa Yanga, Pondamali, swala hili.
Ni Yanga pekee wanaoweza kumsaidia Kindoki
MWAKA 2004 nikiwa U18 nilikuwa sehemu ya kikosi cha Jamaica FC ya Mkoani Morogoro. Katika moja ya siku mbaya katika...