BlogTulimsubiri Messi, ghafla tukaletewa Scott McTominayMartin Kiyumbi5 years agoScott McTomminay ambaye alifanikiwa kucheza mipira yote ya juu katika mchezo wa jana tena kwa utulivu mkubwa.
EPLKoti la Sir Alex Ferguson alilivaa Jose Mourinho EtihadMartin Kiyumbi6 years agoBaridi limevaa ngozi yangu hii imekuwa kawaida sana siku hizi asubuhi kuwa na baridi kutokana na mvua, mvua ambayo imetusahaurisha...
Mabingwa UlayaMourinho alivyojikaanga na mafuta yake mwenyeweAbdallah Saleh6 years agoManchester United wamesukumwa nje ya michuano ya Uefa Champions league, hii ndio lugha nzuri unayoweza kuitumia, katika mchezo ambao Sevilla...
EPLKilichowaua Liverpool ndicho kilikuwa silaha ya Manchester UnitedMartin Kiyumbi6 years agoLiverpool alicheza mfumo wa 4-3-3 na Manchester United katika karatasi alionekana kucheza mfumo wa 4-3-3 lakini uwanjani ilikuwa tofauti, wakati...
EPLJose ndani ya korti chafu la historia dhidi ya KloppMartin Kiyumbi6 years agoJose Mourinho anaweza kumaliza uteja kwa Jurgen Klopp? Alama mbili pekee zinawatenganisha hawa watu na wako kwenye vita ya kupigania...
EPLRashford waza kwa kuinama kisha inua sura tafakari kipaji chakoAbdallah Saleh6 years agoHutokea mara chache sana kwa kijana chipukizi aliyeaminika na kutekeleza kile ambacho kocha alikitarajia, na vile vile hutokea mara chache...
EPLSajili Bora za Dirisha Dogo Msimu huuMartin Kiyumbi6 years agoDirisha dogo la usajili lilifungwa tarehe 31 mwezi uliopita na kushuhudia timu mbalimbali zikinunua na kuuza baadhi ya wachezaji. Hawa...